Chris Brown amejikuta akishambuliwa na baadhi ya mashabiki wa Kanye West baada ya kukejeli mavazi aliyozindua rapa huyo kwa ajili ya show yake ya ‘Yeezy Seaon 2 show’.

Mwimbaji huyo wa ‘Loyal’ alishare Instagram video iliyotengenezwa na mtu mwingine inayoonesha maongezi yanayomhusisha mkwewe, Caitlyn Jenner (baba wa kambo wa Kim Kardashian) na Jay Z wakiyaponda mavazi hayo kwa kuyafananisha na mavazi yaliyotumiwa kwenye filamu ya ‘The Hunger Game’.

??????

A video posted by @chrisbrownofficial on


Maongezi hayo yalikuwa kama ifuatavyo:

Caitlyn: Kanye you must be f*cked up got me seating here wearing this Hunger Games looking s**t.

Kanye West: You’re gonna kick back and watch this s**t like a movie, one Yeezy fit is like a thousand Gucci.

Jay Z: What kind of f***king outfit is this, can you please remind me, man this s**t weird

Kanye West: Jay be quiet..

Mnaomfuata Rihanna Mnapotea, Mwenyewe Anaonesha Njia Hapa
Kapuya Ajitetea Kwa Magufuli Kuhusu Lowassa