Mtaalam wa Astronomia  na Mhadhiri wa Chuo Kikuu Huria Tanzania, Dkt. Noorali Jiwaji (kushoto) akifafanua kwa waandishi wa habari namna tukio la Kupatwa kwa Jua Kipete linavyotokea ambapo alisema kuwa jua litafifia na kuonekana kama umbo la pete, tukio hilo litatokea nchini Tanzania na sehemu zote za Afrika siku ya Septemba Mosi mwaka huu. Katikati ni Makamu Mkuu wa chuo hicho Prof. Elifas Bisanda na kulia ni Mkuu wa Kitivo cha Sayansi Dkt. Matobola Mihale

Magufuli ashusha nyundo 7, apasua makampuni ya madini, Mafao hewa, miamala ya simu
Huenda Muuguzi Aliwaua Wagonjwa Wengi Ujerumani