Unapotaka kuweka ubunifu wa nyumba au Kubadili muonekano wa nyumba yako basi unatakiwa kuwatembelea au kuwatafuta Classic Finishes Ltd ambao wao wana mambo muhimu ya kuzingatia katika kumalizia nyumba na ikapendeza.

Classic Finishes Ltd wao ni wataalamu wa kuuza na kuweka vigae vya aina za kisasa kwenye nyumba na kubadili muonekano huku wakijali kipato cha mteja na afya yake.

kwanza wana Vigae vya nje ya nyumba vya kisasa ambavyo vinaweza kupunguza gharama ya asilimia 30 ya ujenzi kwa sababu vigae hivi vya nje havioteshi majani na vinakimbiza maji yanayosababisha ukungu na kufubaza vigae

Pia wana Mkeka wa mbao ambao kwa sasa wana mtaalam kutoka Ubelgiji anaesimamia huduma zote za kumuwekea mteja na kutoa elimu juu ya mkeaka huu.

Classic finishes Ldt wanasema Faida kuu za mkeka wa Mbao ni Rafiki wa maji, unadumu na mzito, haina utelezi na mzito, haina vimelea vinavyosababisha kansa, mzio na nimonia, inapunguza sauti ya mwangwi, na bila kusahau unauzwa kwa Kipimo hivyo unaweza kupata kulingana na kipato chako.

Utunzaji wa Mkeka wa Mbao ni rahisi kwa sababu unaweza kupiga deki, kufagia na kufuta uchafu wowote kama ambavyo unafanya kwenye sakafu ya kawaida na pia unaweza kuwekwa nyumba ambayo haina sakafu wala vigae.

Aidha unaweza kuweka mkeka wa mbao hata kwenye nyumba ya kupanga na ukahama nao utakapotaka kuondoka na hautaharibu sakafu au vigae vilivyobaki.

Faida ya kiafya ya mkeka wa mbao ni kuwa haina ubaridi unapokanyaga bila viatu kama vigae vya kawaida, haitunzi vumbi kama zulia ambazo watu huweka juu ya vigae na kupata mafua ya mara kwa mara.

Unavyoutunza vizuri unaweza kukaa miaka mingi kama sakafu ya kawaida na pia unaweza kubadili kadri unavyotaka kupata muonekano mypa ndani kwako.

Mkeka wa Mbao unaweza kuwekwa hata kama nyumba tayari ina vigae hivyo haigahrimu kuanza kubomoa vigae na kuweka mkeka wa mbao.

Classic Finishes Ltd wanapatikana Mbezi Jogoo Dar es Salaam lakini wanafanya huduma hii Tanzania nzima na nje ya nchi Wanapatikana kwa namba 0735 2828211/0747733566 na katika mtandao wa Instagram wanapatikana kwa jina la @classic_finishestz

Waziri Mkuu aongoza ya mazishi ya Ole Nasha
Habari Picha:Rais Samia akishiriki maadhimisho ya siku yamlezi wa Skauti