Rasmi Yanga imekibomoa kikosi cha Mwadui FC baada ya kumnasa mshambuliaji wake, Paul Nonga,Nonga amejiunga na Yanga kwa mkataba wa miaka miwili, leo.

Awali Nonga alisafirishwa na Yanga kutoa Mwadui, Shinyanga kwa ajili ya kumalizia mazungumzo na mambo yalikamilika usiku wa kuamkia hii leo.

Kabla ya kujiunga na Mwadui FC, Nonga alikuwa mmoja wa washambuliaji hatari wa Mbeya City chini ya Juma Mwambusi ambaye sasa ni kocha msaidizi wa Yanga na inaelezwa ndiye aliyempendekeza.

MSN Ya FC Barcelona Si Lolote Kwa UEFA
Jose Mourinho Abaini Madudu Yanayoitafuna Chelsea