Timu ya Dar24 Media imefanya ziara ukanda wa Pwani ya Bahari ya Hindi kwa ajili ya kujionea hali halisi ya mandhari ya fukwe za jiji la Dar es Salaam na kubadilishana uzoefu wa namna kila mmoja anavyoifahamu elimu ya Bahari.

Safari hiyo, ilijuisha wafanyakazi wote ambao kwa pamoja pia walijumuika katika majadiliano ya kina yaliyojikita katika ufanisi na maboresho ya kazi kisha kushiriki michezo mbalimbali ikiwemo mpira wa miguu, kuogelea, kulenga shabaha na kucheza Muziki.

BRELA yaja na dawa ya Matapeli
Mwakyembe kufuatilia chanzo wengi kufeli LST