Uongozi wa Dar24 na wafanyakazi wote, kwa moyo wa dhati tunakutakia ‘Heri ya Mwaka Mpya 2017’.

Tunakushukuru kwa kuendelea kutembelea Dar24.com na kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii kwa kipindi chote. Kwa dhati, tunakushukuru wewe mdau wetu kwa kuwa sababu ya mafanikio tuliyopata katika mwaka 2016.

Tunapouanza mwaka 2017, tunapenda kukuhakikishia kuwa tunatambua na kuthamini mchango wako; na tunakusihi uendelee kutembelea Dar24 kwa habari za uhakika zisizo na mipaka. Tegemea kuona maboresho zaidi yanayolenga kukupa kilicho bora zaidi.

Weka malengo ya kupata habari za uhakika mwaka 2017 na Dar24 itakutimizia malengo yako na kuyavuka kwa ubora wa habari bila mipaka.

Profesa Jay afunga Mwaka na Tukio la aina yake, ndoa yanukia
Talaka na Gadner ni moja ya mambo Jide anamshukuru Mungu 2016