Shirika la maji safi na maji taka Dar es salaam, Dawasco, limetoa tangazo kwa wakazi wa jiji la Dar es salaam na mji wa Bagamoyo mkoani Pwani kuwa kutakuwa na ukosefu wa huduma ya majisafi kwa wastani wa saa12 kuanzia saa 3:00 asubuhi mpaka saa 2:oo usiku siku ya Jumatano tarehe Julai 25, 2018.

Baadhi ya maeneo yatakayokosa maji yametajwa kuwa ni pamoja na Mwenge, Tegeta, Salasala, Mikocheni, Kijitonyama, Sinza, Manzese, Magomeni, Kawe, Kariakoo na sehemu nyingine tajwa hapo chini.

 

IMG-20180724-WA0013.jpg

 

 

 

Chancel Mbemba kucheza Ureno 2018/19
Hoja ya Zitto baada ya Rais Magufuli kupokea gawio la serikali

Comments

comments