Diamond Platinumz pamoja na wasanii wanaounda kundi la Mafikizolo kutoka nchini Afrika Kusini, leo wameingia katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mjini Dododoma.

Wasanii hao wamepata fursa ya kutazama na kusikiliza uwasilishwaji wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Michezo na Wasanii kwa Mwaka wa Fedha 2015/2016 ikisomwa katika jumba hilo la wawawakilishi.

Kutoka kulia, msanii wa kundi la Mafikizolo, Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Nape Nnauye, Diamond Platnumz, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano January Makamba, wakiwa nje ya bunge.

Kocha Marc Wilmots Atangaza Kikosi Cha Ubelgiji
The Merengues Waendelea Kutesa kwa Utajiri Duniani

Comments

comments