Baada ya Diamond Platinumz na Rich Mavoko kuachia ngoma mpya povu likamtoka Ommy Diampoz na kumkejeri Diamond kuwa aache mziki wa ujanja ujanja akimanisha kuwa Diamond aache tabia zake za kununua view, awekeze kwenye muziki mzuri usio na ujanja ujanja naye Diamond akamjibu kuwa apunguze tabia za kipunga.

janja

Hata hivyo kama mnavyojua Diamond na uswahili wake hakutaka kuacha lipite kimya kimya akaamua kumjibu ommy dimpoz kwa kutupia dongo.

janja

Serengeti kunufaika na uzinduzi wa safari mpya za Precision Air
Video: Polisi - Siasa inatukwamisha, Mawakili kesi ya Lema wakwama