Ni habari njema nyota wa Bongo fleva Diamond Platnumz ambaye leo December 6 2016, mpenzi wake Zarina Hassan amefanikiwa kujifungua mtoto wake wa pili,

Baadhi ya majina ambayo Diamond Platinumz aliwaomba mashabiki wake wamsaidie kumchagulia mtoto wake mpya ni Ramia, Nillan, Lanier, Akram, Rahul, Riaz, na Dylan. Ni mtoto  wa kiume aliyezaliwa leo majira ya saa 10:35 alasiri.

Zari na Diamond wamepata mtoto wao wa pili baada ya kupata mtoto wao wa kwanza Tiffah August 2015.

Mtoto huyo ambaye siku za nyuma alifunguliwa account ya instagram kwa jina la Prince_ Riaz_2016 ambapo hadi sasa ana idadi ya followers 5180.

Kenya: Mgomo wa madaktari wapelekea vifo 8; wagonjwa 100 wa akili watoroka
Simba Wasawazisha Uzushi Wa Mkude, Ajib