DJ Sinyorita afanikiwa kuwa Mtanzania pekee aliyeshinda tuzo miongoni mwa Watanzania waliotajwa kwenye tuzo za Afrima 2021.

Sinyorita ameibuka mshindi wa tuzo hiyo kwenye Kipengele cha Dj bora wa Afrika (Best African Dj) huku akiwagalagaza wakali wengine wasiopungua tisa (9) akiwamo  Dj Cuppy kutoka Ngeria, pamoja na Black Coffee (South Africa).

Kwenye tuzo hizo kwa mwaka huu Tanzania ilifanikiwa kuingiza wasanii kadhaa kwenye vipengele tofauti tofauti ikiwa ni pamoja na Harmonize, Darassa, Diamond Platnumz, Rosa ree, Zuchu, Rayvanny.

Eddy Kenzo mwanamuziki bora wa kiume Afrika Mashariki.
Wizkid awapiga chini wasanii maarifu Afrima