Tume ya Uchaguzi (NEC) imetamtangaza Dkt. Godwin Mollel wa Chama cha Mapinduzi(CCM) kuwa mshindi wa uchaguzi mdogo wa Ubunge, Jimbo la Siha baada ya kupata kura 25,611 dhidi ya mpinzani wake wa karibu, Elvis Mosi wa CHADEMA aliyepata kura 5,905

Video: CCM yaibuka kidedea Jimbo la Kinondoni
Magazeti ya ndani na nje ya Tanzania leo Februari 18, 2018