Msanii wa Bongo Fleva, Dogo Janja amefunguka mara baada ya albamu yake ‘Asante Mama’ kufikisha streams Milioni 1 kwenye mtandao wa Boomplay Music.

“Sanaa hua ni uwanja mpana sana, wala huitaji fimbo au Bunduki kuwashikia watu ili wasikilize mziki wako, unahitaji mashairi mazuri yasio na lugha mbaya”.

“Unahitaji instrumental itakayoendana na melody za wimbo husika, na mziki unahitaji nidhamu kama kwenye kazi zingine”.

“So ndio hiki ambacho kimeifikisha hii Album yangu ya pili hapa ilipo.. 1M streams sio jambo dogo kwa mimi.. na ikumbukwe mimi sio mjuzi sana wakutumia ROBOT, asanteni wadau wote mnaopenda mziki mzuri” ameandika Dogo Janja.

Haruna Niyonzima aagwa rasmi Young Africans
PICHA: Azam FC yaipongeza Simba SC