Msanii wa Muziki na Filamu nchini Tanzania Dokii Wenceslaus ameutaka Uongozi wa klabu ya Young Africans kuwa makini na Msemaji wa sasa wa klabu hiyo Haji Manara, ili kuepuka matatizo ambayo huenda yakawangamiza na kushindwa kufikia lengo la kuwa mabingwa wa Tanzania Bara msimu huu 2021/22.

Dokii ambaye ni Shabiki na Mwanachama wa Young Africans ametoa tahadhari hiyo kwa viongozi wake, alipozungumza na Dar24 Media #taarifabila mipaka.

Mo Dewji akasimu madaraka Simba SC
Baraza aitangazia vita Young Africans