Droo ya raundi ya tatu(3) ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) imechezeshwa leo Januari 5, 2018 ikishirikisha timu 32.

Raundi hiyo ya Tatu imehusisha timu nne(4) za mabingwa wa mikoa  timu tatu(3) za Ligi Daraja la Pili,timu Kumi na Mbili (12) za Ligi Daraja la Kwanza na timu 13 za Ligi Kuu.

Mechi za raundi hiyo ya tatu zitachezwa kati ya Jumatano Januari 31, 2018 na Alhamisi Februari 1, 2018

Kabla ya mechi hizo za raundi ya tatu kuchezwa tayari zimechezwa mechi 59 na magoli 137 yamefungwa.

KMC VS Toto Africans
Majimaji Vs Ruvu Shooting
Njombe Mji vs Rhino Rangers
Kiluvya United   vs  JKT Oljoro
Ndanda Vs Biashara United
Pamba Vs Stand United
Polisi Tanzania Vs Friends Rangers
JKT Tanzania Vs  Polisi Dar
Ihefu Vs Yanga
Mwadui Vs Dodoma
Green Warriors Vs  Singida United
Burkina FC Vs Tanzania Prison
Kariakoo Lindi Vs Mbao
Majimaji Rangers Mtibwa Sugar
Kagera Sugar Vs Buseresere
Shupavu Vs Azam

Maamuzi kamati ya uendeshaji na usimamizi wa ligi – Ligi kuu Tanzania bara
Maandamano makubwa yafanyika Iran