Poland itakutana na Croatia ama Portugal katika robo fainali ya michuano ya Euro2016 baada ya kuishinda Switzerland kwa Penalti.

Jakub Blaszczykowski aliiweka mbele Switzerland kabla ya Xherdan Shaqiri kusawazisha kupitia bao zuri

Mchezaji huyo wa Stoke alimfunga Lukas fabianski kupitia shambulio la ‘Bycycle kick’ kwa lugha ya Kiingereza.

Mchezaji aliyesajiliwa hivi majuzi na klabu ya Arsenla Granit Xhaka alikosa penalti kwa upande wa Switzerland baada ya mechi hiyo kuisha na sare ya 1-1.

TFF yanasa mpango wa Yanga kufanya vurugu Mechi Ya TP Mazembe
Vikosi vya Iraq vyawatimua wapiganaji kutoka Fallujah