Mamlaka ya Uthibiti wa Huduma za Nishati na Maji EWURA imeagiza kampuni za gesi ya kupikia majumbani LPG kusitisha mara moja upandishwaji wowote wa bei ya gesi ya kupikia majumbani mpaka pale itakapopokea na kupitia mapendekezo ya hoja za uhalali wa kupandishwa kwa bei hizo.

Abdul-Swamad: Nimesaini Simba SC miaka mitatu
Wafugaji kunufaika na mbegu bora za mifugo ya asili