Mshereheshaji wa harusi na mchekeshaji maarufu, Emmanuel Mathias aka MC Pilipili alikuwa mhanga wa kwanza kutafutwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), baada ya Serikali kutangaza kuanza kuwalipisha kodi Ma-MC wote wa harusi na wamiliki wa kundi za Harusi.

MC Pilipili ameiambia Dar24 jinsi ambavyo Afisa wa Mamlaka hiyo alivyomvuta asogee katika ofisi zao na yaliyojiri kwa upande wake. Kadhalika, MC huyo ameeleza kwa ucheshi msimamo wa Rais John Magufuli na namna ambavyo Ma – MC wameupokea.

Msikilize hapa:

Habari Mpasuko: Mahakama yatupilia mbali kesi ya Kupinga Ubunge wa Msigwa
Museveni aeleza sababu za kumfungia nyumbani Dk. Besigye, mpango wa kuachia madaraka