Wasanii wawili wa muziki wa kizazi kipya Muuh Kajo na Twaah Kane wanaounda kundi la Mabantu ambao wanaendelea kufanya vizuri na wimbo wao wa “Sundi” wamechambua mashairi ya wimbo huo kupitia kipindi cha burudani cha MSTARI KWA MSTARI cha Dar24 Media.

MSTARI KWA MSTARI ni kipindi kinachohusu uchambuzi wa mashairi ya nyimbo za wasanii ambapo msanii mwenyewe anafanya uchambuzi huo ili kuwafaya mashabiki kuelewa kiundani kuhusu wimbo husika na maana halisi ya sentensi zilizotumika katika wimbo huo na kwanini.

Bofya hapa kutazama Mabantu wakiyaweka wazi mashairi ya Sundi.


Kama bado haujaitzama hii: One the Incredible “Adoado Mixer” | Mstari Kwa Mstari S01E03

Serikali kujenga makumbusho ya marais wastaafu
Wabunge wapinga uendeshwaji kampeni ya Makonda