Msanii wa muziki wa hip hop chini Tanzania, One the Incredible amechambua mashairi ya wimbo wake wa “Adoado Mixer” kupitia kipindi cha burudani cha MSTARI KWA MSTARI cha Dar24 Media.

MSTARI KWA MSTARI ni kipindi kinachohusu uchambuzi wa mashairi ya nyimbo za wasanii ambapo msanii mwenyewe anafanya uchambuzi huo ili kuwafaya mashabiki kuelewa kiundani kuhusu wimbo husika na maana halisi ya sentensi zilizotumika katika wimbo huo na kwanini.

Bofya hapa kutazama One the Incredible akiyaweka wazi mashairi yake na kwanini ameimba hivyo.

Mtibwa Sugar yawika mashamba ya miwa
Nandy aomba radhi Kanisa, Serikali kwa video yake ya utupu

Comments

comments