Msanii wa muziki wa bongo fleva, D Baba amechambua mashairi ya wimbo wake mpya wa “Nyang’anyang’a” kupitia kipindi cha burudani cha mstari kwa mstari kinachoruka Dar24 Media pekee.

Mstari kwa mstari ni kipindi kinachohusu uchambuzi wa mashairi ya nyimbo za wasanii ambapo msanii mwenyewe anafanya uchambuzi huo ili kuwafaya mashabiki kuelewa kiundani kuhusu wimbo husika na maana halisi ya sentensi zilizotumika katika wimbo huo na kwanini.

Bofya hapa kutazama D Baba akiweka wazi mashairi yake na kwanini ameimba hivyo.

Habari kubwa katika Magazeti ya Tanzania leo Julai 19, 2018
Thibaut Courtois kumrudisha Petr Cech Chelsea

Comments

comments