Chama cha soka nchini England (FA) kimechezesha droo ya kupanga ratiba ya hatua ya robo fainali ya michuano ya kombe la ligi (EFL Cup), saa chache baada ya michezo ya mzunguuko wa tano kuchezwa usiku wa kuamkia hii leo.
Michezo ya robo fainali ya michuano hiyo imepangwa kuunguruma Novemba 28.
Liverpool v Leeds United – Anfield, Liverpool
Manchester United v West Ham United – Old Trafford, Manchester
Hull City v Newcastle United – KCOM Stadium, Kingston-upon-Hull
Arsenal v Southampton – Emirates Stadium, London