Tanzania ni miongoni mwa nchi 15 zinazoongoza kwa kulipa mishahara ya kima cha chini kwa mwaka ,hakuna ambaye anapenda kipato kidogo na hata  hivi juzi tumesikia chama cha wafanyakazi TUCTA kudai ongezeko la kima cha chini ili ifike 750,000.

Wakati tukisikilizia hilo kwa watanzania, bado kuna orodha kubwa ya nchi zinazoongoza kwa kulipa wananchi wake mishaara ya kima cha chini, Tanzania ikiwa nafasi ya sita kulipa wananchi wake mishaara kima cha chini dola 240, ikiwa ni sawa na fedha taslimu shillingi 540,000 za kitanzania kwa mwaka.

  1. Uganda -$ 22 sawa na Takribani Tsh 49,500 kwa mwaka.
  2. Georgia-$96 sawa na takribani Tsh 216,000 kwa mwaka.
  3. Cuba- $ 108 sawa na takribani Tsh 243,00 kwa mwaka.
  4. Kyrgyztan- $ 181 sawa na takribani 407,250 kwa mwaka.
  5. Bangladesh -$228 sawa na takribani Tsh 513,000 kwa mwaka.
  6. Tanzania -$240 sawa na takribani Tsh 540,000 kwa mwaka.
  7. Gambia -$317 sawa na takribani Tsh 713,000 kwa mwaka.
  8. Venezuela-$ 361 sawa na takribani Tsh 812,250 kwa mwaka.
  9. Guinea-Bissau-$ 372 sawa na takribani Tsh 837,000 kwa mwaka.
  10. Malawi-$ 412 sawa na takribani Tsh 927,00o kwa mwaka.
  11. Liberia -$ 435 sawa na takribani Tsh 97,8750 kwa mwaka.
  12. Jamhuri ya Demokrasia ya Congo sawa na takribani Tsh 1062,oo kwa mwaka.
  13. Tajikistan- $487 sawa na takribani Tsh 1,098,000 kwa mwaka.
  14. Ghana-$488 sawa na takribani Tsh 1,098,000 kwa mwaka.
  15. Madagascar -$ 490 sawa na takribani Tsh 1,102,500 kwa mwaka.

Video: Rais Magufuli kuzindua rasmi mabasi ya mwendo kasi Dar es salaam
Ashley Young Aisoma Namba