Rapa Fareed ‘Fid Q’ Kubanda, jana aliibuka kidedea baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa tuzo za  Zanzibar International Films Festival (ZIFF) katika kipengele cha Video Bora ya Muziki  kupitia video yake ya ‘Walk It Off’.

Tuzo hizo zimetolewa jana katika Tamasha hilo kubwa lililofanyika visiwani Zanzibar na kuhudhuriwa na wasanii wa mataifa mbalimbali.

‘Walk It Off’ ilikuwa video ya kwanza ya rapa huyo kuifanya na muongozaji mkubwa nje ya nchi na ilikuwa ya kwanza kwake kuwekeza kiasi kirefu cha fedha kuiandaa. Matunda ya kazi hiyo yameanza kuonekana kwenye tuzo pia.

Mbali na Fid Q, muigizaji wa Bongo Movies, Salim Ahmed maarufu kama Gabo alitajwa kuwa mshindi wa tuzo ya Muigizaji Bora.

Orodha kamili ya washindi:

ZAWADI- Richard Card and David Kinyanjui- Kenya
WATATU by Nick Reding (Kenya)
DALADALA- By Salum Stika- Tanzania
Sembene Ousmane Award- (Winners of $2000 each);

A PLACE FOR MYSELF- Clementine Dusabejambo- Rwanda
MACARRAO- Iyabo Kwayana- Brazil
UGALI- THE FAMILY DINNER- Tony Koros- Kenya

BONGO MOVIES
Azam Bongo Movie Awards:
Best Actress – Godliver Gordian (Aisha)
Best Cinematographer – Freddy Feruzi (Kariakoo)
Best Editor – Momose Cheyo (Aisha)
Best Feature Film – Aisha – Producer: Amil Shivji

ComNet Bongo Movie Awards:

Best Actor – Salim Ahmed (Safari ya Gwalu)
Best Writer – Abubakar H. Guni and Devotha Mayunga (Queen of Masai)

Best Director – Chande Omar (Aisha)
Best Film in Sound – Bongo na Flava (Joseph Myinga)
ZIFF AWARDS

GOLDEN DHOW- (best Feature) WATATU by Nick Reding (Kenya

SILVER DHOW- Best Documentary- THE VALLEY OF SALT-
Salaud Morisset- Switzerland/Egypt

SILVER DHOW – Best Film From Dhow Countries- LEECHES- Payal Sethi- India

GOLDEN DHOW- (Short Film)- A PLACE FOR MYSELF by
Clementine Dusabejambo (Rwanda)

GOLDEN DHOW- ( Special Jury Prize) ME A BELGIAN, MY MOTHER A GHANAIAN by Adams Mensah (Belgium)

CHAIRMAN’S AWARD- KALUSHI- Mandlakayise Dube- South Africa

BEST MUSIC VIDEO – Walk It Off

UVCCM wawasaka BAVICHA Dodoma, waandaa vijana 3000
Picha: Walichofanyiwa Wanajeshi waliofanya jaribio la Mapinduzi Uturuki