Kamanda wa polisi Mkoa wa Kinondoni Ramadhani Kingai amethibitisha kutokea kwa tukio la ajali ya gari aina ya Toyota Landcruiser Prado kuzama baharini leo Octoba 5, 2021 katika ufukwe wa Coco Beach Jijini Dar es saalaam.

Kamanda Kingai amesema hakuna madhara yoyote yaliyotokea katika ajali hiyo mara baada ya dereva wa gari hilo kuokolewa na wavuvi.

Kasi ya utatuzi wa kero za Muungano yamfurahisha Dkt Mwinyi
Je Unafahamu sababu za Vijana wengi kunywa Pombe kali kupindukia?