Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amewahasa wananchi kupuuza habari zinazoendelea mitandandaoni za upotoshaji kuwa serikali imeto maelekezo kwa kuwalazimisha watumishi wa umma kupokea chanjo dhidi ya ugojnwa wa uviko 19.

Aidha Msemaji wa Serikali Msigwa amesema kuwa waupuuzie upotoshaji huo huku akiwasisitiza kuendelea kupokea taaria kutoka serikali kupitia viongozi na kuzingatia maelekezo yanayotolewa na wataalamu wa Afya.

Mashabiki, Wanachama watulizwa Young Africans
DKT Hussein Mwinyi atoa maelekezo kwa Wizara ya mambo ya nje