Mshambuliaji nyota wa Zenit St Petersburg, Givanildo Vieira de Sousa (Hulk), ametua Shanghai SIPG kwa dau nono la pauni milioni 48.
Raia huyo wa Brazil, amevunja rekodi ya uhamisho iliyokuwa inashikiliwa na Alex Teixeira aliyesajiliwa Jiangsu Suning akitokea Shakhtar Donetsk, Februari, mwaka huu.
Givanildo Vieira de Sousa akipokelewa na mashabiki wa Shanghai SIPG nhini Shanghai nchini China
REKODI ZAKE:
2004: Vitoria Games 2 Goals 0
2005: Kawasaki Frontale Games 12 Goals 3
2006: Consadole Sapporo Games 41 Goals 26
2007: Tokyo Verdy Games 42 Goals 37
2008: Tokyo Verdy Games 14 Goals 8
2008-2012: Porto Games 170 Goals 89
2012-2016: Zenit Games 144 Goals 75

 

Ryan Giggs Akataa Kufanya Kazi Na Jose Mourinho
Serengeti Boys Yapaa, Mchawi Mweusi Atamba