Kutoka katika Headlines za Magazeti ya Tanzania leo Julai 12 2016 ambapo magazeti mengi yameandika tukio la kukamatwa kwa Askofu Josephat Gwajima.
->>> Kiongozi wa Kanisa la ufufuo na uzima Askofu Josephat Gwajima amekamatwa na Jeshi la Polisi katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, jijini Dar es Salaam aliporejea nchini kutoka nje ya nchi.
Inadaiwa kuwa Gwajima alikuwa nje ya nchi kupatiwa matibabu kutokana na mardhi yanayomsumbua.
                 Â