Fahamu yote yaliyojiri katika magazeti ya Tanzania leo Agosti 10, 2019. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele, kurasa za nyuma za habari za michezo na burudani

Lukuvi atoa siku 30, 'Haiwezekani waisababishie serikali hasara'
Mchunguzi Mkuu Takukuru alivyodakwa kwa rushwa, utakatishaji fedha