Fahamu yote yaliyojiri katika magazeti ya Tanzania leo Agosti 9, 2019. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele, kurasa za nyuma za habari za michezo na burudani

Dkt. Bashiru Ally awacharukia wakuu wa mikoa, 'mjitafakari'
Trump akutana na wahanga wa mashambulizi ya Dayton na El Paso, Mamia waandamana