Fahamu yote yaliyojiri katika Magazeti ya Tanzania leo Aprili 2, 2019. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele na kurasa za nyuma za habari za michezo na burudani.

Msajili aeleza kwanini ACT-Wazalendo inataka kufutwa na vyama vilivyowahi kufutwa
Halmashauri ya Tarime Vijijini kujengwa Nyamwaga