Fahamu yote yaliyojiri katika magazeti ya Tanzania leo Aprili 27, 2019. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele, kurasa za nyuma za habari za michezo na burudani.

 

Dkt. Bashiru afunguka kuhusu Lowassa, ' Huyu ilibidi akubalike kwanza kwenye tawi'
Mkoa wa Dar es salaam kinara ukusanyaji mapato