Fahamu yote yaliyojiri katika Magazeti ya Tanzania leo Februari 13, 2019. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele na kurasa za nyuma za habari za michezo na burudani.

Tanzia: Godzilla afariki dunia, chanzo cha kifo chake chatajwa
Watuhumiwa watatu wa mauaji ya watoto Njombe wafikishwa mahakamani