Fahamu yote yaliyojiri katika Magazeti ya Tanzania leo Januari 31, 2019. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele na kurasa za nyuma za habari za michezo na burudani.

Twitter yamponza mbunge, asukumwa ndani mwaka mmoja
Makala: Inaaminika bundi ‘aliyetua bungeni’ ni tiba kiboko, dawa ya vita, mkosi...