Fahamu yote yaliyojiri katika magazeti ya Tanzania leo Julai 1, 2019. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele, kurasa za nyuma za habari za michezo na burudani.

Trump asimulia Wakorea walivyotokwa machozi alipoingia Korea Kaskazini
Chadema wacharuka baada Lissu kuvuliwa Ubunge, 'Tunakwenda Mahakamani'