Fahamu yote yaliyojiri katika magazeti ya Tanzania leo Julai 4, 2019. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele, kurasa za nyuma za habari za michezo na burudani.

Rais Kenyatta kufanya ziara binafsi nchini Tanzania
Tanzania yazidi kupaa katika mapambano dhidi ya Rushwa