Fahamu yote yaliyojiri katika magazeti ya Tanzania leo Mei 12, 2019. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele, kurasa za nyuma za habari za michezo na burudani.

Agizo la Rais Magufuli Njombe latekelezwa
BASATA walifungulia shindano la Miss utalii