Fahamu yote yaliyojiri katika magazeti ya Tanzania leo Mei 28, 2019. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele, kurasa za nyuma za habari za michezo na burudani.

OK

Polisi, Takukuru, Chadema wazungumzia kukamatwa kwa Nyalandu
Video: Majambazi watatu wauawa jijini Dar