Fahamu yote yaliyojiri katika magazeti ya Tanzania leo Mei 5, 2019. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele, kurasa za nyuma za habari za michezo na burudani.

Video: IGP: Tunafuatilia kifo cha Mengi | Dr Bashiru awashangaa wanaougua Urais CCM
Jambazi afariki kwa kupigwa risasi na Polisi