Fahamu yote yaliyojiri katika Magazeti ya Tanzania leo Novemba 22, 2018. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele na kurasa za nyuma za habari za michezo na burudani.

Dereva wa lori adaiwa kuiba pipa 156 na kutoroka
Hakimu ataka kesi ya Mdee imalizike ndani ya mwaka huu