Fahamu yote yaliyojiri katika Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 17, 2018. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele.

Ni kweli Chadema tunachangishwa, lakini sio sababu ya kuhama- Mbunge Meiseyeki
JPM afanya uteuzi wa viongozi mbalimbali