Fahamu yote yaliyojiri katika Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 31, 2018. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele na kurasa za nyuma za habari za michezo na burudani.

Nesi akiri kuua wagonjwa 100
Gekul, Millya, Mkundi, na Ryoba waula tena CCM