Fahamu yote yaliyojiri katika Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 9, 2018. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele.

Rais Magufuli aagiza kusimamishwa kazi makamanda wa Polisi
Naibu Waziri Kakunda azindua mashindano ya mbio za baiskeli