Wakati Tanzania ikiendelea kuomboleza kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin William Mkapa, tunaendelea pia kujifunza mengi kupitia maisha yake, na magazeti ya leo, Julai 26, 2020 yameeleza mengi zaidi unayopaswa kuyafahamu.

Usikose pia kufuatilia magazeti yakisomwa kupitia YouTube ya Dar24 Media, muda mfupi ujao.

Mlinzi wa Mkapa asimulia maisha yake ndani ya Ikulu, alivyojenga msikiti
Mabalozi wafika nyumbani kwa Mkapa kuomboleza

Comments

comments