Karibu usome habari zilizopewa nafasi kwenye kurasa za mbele na kurasa za nyuma za magazeti ya Tanzania, leo Oktoba 10, 2021

Usikose pia kuangalia magazeti yakisomwa kupitia YouTube ya Dar24 Media muda mfupi ujao.

Vijana waongoza matatizo ya akili, vilevi vikitajwa kuwa ni sababu
Waziri Ummy asitisha mfumo wa kielektroniki wa maegesho ya magari