Karibu usome habari zilizopewa nafasi kwenye kurasa za mbele na kurasa za nyuma za magazeti ya Tanzania, leo Oktoba 5, 2021

Usikose pia kuangalia magazeti yakisomwa kupitia YouTube ya Dar24 Media muda mfupi ujao.

Dawa ya covid-19 yapatikana! Wataalam Marekani wasema ‘sio muujiza’
Facebook kupotea kwaporomosha utajiri wa Zuckerberg ndani ya saa..!