Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameongoza mamia ya wananchi jijini Dar es salaam kuaga mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu Athuman Hassan Ngwilizi katika Hospitali kuu ya Jeshi ya Lugalo Jijini Dar es Salaam Mei 22,2019 ,Marehemu alifariki dunia hospitalini hapo Mei 20,2019.

Fahamu ugonjwa wa Ini hatari zaidi ya Ukimwi
Video: Kampuni ya Airtel yazindua huduma mpya 'TAMBA MITANDAO YOTE'

Comments

comments