Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt.Ali Mohamed Shein (wa tatu kulia) akijumuika na Viongozi na Waislamu mbalimbali katika swala ya Eid  El Fitri  baada ya kukamilika kwa ibada ya Funga ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan iliyoswalishwa na Sheikh Khalid Ali Mfaume katika Uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Zanzibar leo.

CCM yasema haitambui ujio wa Lembeli
Video: Urusi wakata utepe kwa kishindo

Comments

comments