Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakitoa  pole kwa wanafamilia ya Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Global Group Eric Shigongo ambaye amefiwa na mama yake Mzazi Bi Asteria Kahabi Kapela walipofika kuwafariji msibani Mikocheni B jijini Dar es salaam leo Julai 29, 2018.

Serikali yakabidhi Pikipiki 21 maafisa elimu Wanging'ombe kurahisisha utekelezaji wa shughuri  za elimu
Majaliwa atoa siku 30 kwa madiwani wa Kigoma kujirekebisha

Comments

comments