Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Uingereza (Departmentof International Development – DFID – ), Penny Mordaunt aliyemtembelea akiwa ameongozana na Balozi wa Uingereza nchini. Sarah Cooke, na Mkuu wa ofisi ya DIFD nchini Mama Beth Arthy Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 10, 2018.

Inter Milan wasubiri baraka za Real Madrid
Mipango ya Pep Guardiola yavurugwa

Comments

comments